Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema naona wengi wanapedict Liverpool kuchukua epl .....Ndugu zanguni EPL imeisha kabla haija anza.
Liver tumeisha libeba
Na Diaz huyo huyo ndie aliyetupa UCL sisi Chelsea mwaka juzi. Huyo atakuwa anabet kwenye mechi kubwa au ni agentYaani ww jamaa ni mkiwa kweli, unajitekenya na kucheka mwenyewe [emoji23][emoji23]
ile game ya Liverpool imeonesha kuwa haaland tayari kashaelewa mfumo wa city ,na Kama ameweza kupata clear chance kwa team kubwa Kama Liverpool yenyewe defender wakubwa ,hizo timu nyingine zenye kina magwaya lazima atawaweka magoli ya kutosha ....!!Haaland haitaki kwenye play style ya kipara. Kipara anawahitaji forwards wazuri kule mbele style ya Sterling. Wide players wanaoweza kubadilishana position wakati wanacheza. Strikers Huwa ni milingoti inayofaa counter attack system kama za Conte
Kipara na possessive football striker hatakowi. Uwepo wa striker inakuwa kama Kuna upungufu wa wachezaji uwanjani
Dias ni defender mzuri ila kuna muda hajui kujipostion wakati anajilinda ....Na Diaz huyo huyo ndie aliyetupa UCL sisi Chelsea mwaka juzi. Huyo atakuwa anabet kwenye mechi kubwa au ni agent
Maji waTaita mmAWale kuku baada ya kutufunga community shield naona wameshapewa na odds kubwa za kuwa bingwa ...
sisi tutawaonesha kuwa mwenye pumzi ya kupumulia game 38 mpaka may 2023 ni nani ....
Kesho tupo na wagonga nyundo ,westham ..!Fulham hoyeeeee
HatareeeeehNi bonge la striker subili atawaonesha hao vinabo soon [emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri league ndo imeanza, mtajua hamjui.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi kapiga hata shuti kweli?
Kumbe wewe ni mshabiki wa man citySubiri league ndo imeanza, mtajua hamjui.