Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Mkuu westham ni wagumu Hawa ,Antoni ndio yupo mbele wengine wote wanakaba mpaka kivuli ...ni kama viungo wa Man city hawamtendei haki Haaland hawampi pass kabisa
Yako man united inavutiaHii timu haina mvuto namashabiki wake wakudandia
Kavitiwe na mke wako chumbani ,Mambo ya football huyawezi mzee [emoji23]Hii timu haina mvuto namashabiki wake wakudandia
Haaland. [emoji460][emoji460]Kumbe wewe ni mshabiki wa man city
Poleeeeeeeh wee.Leo lazima mfungwe sijui mtamfukuza kochq
Ahsanteeeeeeeeeehhhhhhh
Kumekuchaaaaaa!!!!