The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

.
mancityzenscom-20220807-0001.jpg
 
ni kama viungo wa Man city hawamtendei haki Haaland hawampi pass kabisa
Mkuu westham ni wagumu Hawa ,Antoni ndio yupo mbele wengine wote wanakaba mpaka kivuli ...

Long ball hazifanyi kazi Tena ,tunahitaji pass chokonozi Kama za gundogun kuwafungua ...

Ngonja tuone 2H
 
Game na westham haijawahi kuwa rahisi ....!

Any way 3 point kibindon ...!
mancityzenscom-20220807-0002.jpg
 
Ooh white lukaku ooh sjui nin...haya sasa taratiibu tunaanza kuingia kwenye mfumo....tutaelewana tu
 
Back
Top Bottom