Waseme tena, siwasikii.Ooh white lukaku ooh sjui nin...haya sasa taratiibu tunaanza kuingia kwenye mfumo....tutaelewana tu
Tumeanzia tulikoishia 🙏🙏
Humu ndani wanapajua moto wake ni mkali hatari ,...!Enyi wanaliverpool mnaochungulia chungulia humu ieleweke hivii city tunakwenda kutetea ubingwa wetu na tutapita na nyani yeyote atakaeleta kiherere
Juzi liver kakupiga 3Humu ndani wanapajua moto wake ni mkali hatari ,...!
ile ilikuwa friends match tu mzee[emoji23][emoji23][emoji23]league ni kitu kingineJuzi liver kakupiga 3
Kaka mkubwa! Hongera! Maneno yetu yametimia. Nina hakika hii ni ligi ya Haaland na Nunez.ile game ya Liverpool imeonesha kuwa haaland tayari kashaelewa mfumo wa city ,na Kama ameweza kupata clear chance kwa team kubwa Kama Liverpool yenyewe defender wakubwa ,hizo timu nyingine zenye kina magwaya lazima atawaweka magoli ya kutosha ....!!
Nimekutumia ujumbe dm ebu angaliaHaaland. [emoji460][emoji460]
Mkuu haaland ni striker anambioa ,ananguvu ,anajuakujipostion ....Kaka mkubwa! Hongera! Maneno yetu yametimia. Nina hakika hii ni ligi ya Haaland na Nunez.
Ubingwa ni Man City
Sijaona mbnaNimekutumia ujumbe dm ebu angalia
Nimeshakutumia no yangu ya whatsapp unitumie angalia vizuriSijaona mbna
Umefunga PMSijaona mbna