The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Erling Haaland is the second Manchester City player to score a brace on his Premier League debut, following Sergio Agüero in August 2011. Heir.
 
Enyi wanaliverpool mnaochungulia chungulia humu ieleweke hivii city tunakwenda kutetea ubingwa wetu na tutapita na nyani yeyote atakaeleta kiherere
Humu ndani wanapajua moto wake ni mkali hatari ,...!
 
ile game ya Liverpool imeonesha kuwa haaland tayari kashaelewa mfumo wa city ,na Kama ameweza kupata clear chance kwa team kubwa Kama Liverpool yenyewe defender wakubwa ,hizo timu nyingine zenye kina magwaya lazima atawaweka magoli ya kutosha ....!!
Kaka mkubwa! Hongera! Maneno yetu yametimia. Nina hakika hii ni ligi ya Haaland na Nunez.
Ubingwa ni Man City
 
Kaka mkubwa! Hongera! Maneno yetu yametimia. Nina hakika hii ni ligi ya Haaland na Nunez.
Ubingwa ni Man City
Mkuu haaland ni striker anambioa ,ananguvu ,anajuakujipostion ....

ile game na Liverpool ni vile tu haikuwa siku yake lakin alicheza vzuri sana ,Kila kitu alikuwa anafanya sahihi ...

Sasa hizi timu nyingine ambazo defenders ni WA kawaida hatakosa goli zaidi ya 1 Kila game ...
 
.
mancityturkey-20220808-0001.jpg
 
Back
Top Bottom