Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Tulieni kesho mbanduliweHalafu kuna mtu utasikia anakwambia Arsenal anashinda mechi nyepesi nyepesi tu
Kombe lipi hiloArsenal akabidhiwe kombe lake maana naona ligi nzima timu zimekuwa underdogs.
Epl.Kombe lipi hilo
Unaota weweEpl.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dahhh arsenyeto mna mdomo [emoji119][emoji119][emoji119]Arsenal akabidhiwe kombe lake maana naona ligi nzima timu zimekuwa underdogs.
"Basi tu "Daaaa draw ya kizembe ,hii game ilikuwa yetu ,sema basi tu ...
Liver tuna gundu yaani cty akiwa hovyo sisi ndio hovyo kabisa, tukiwa on fire basi ujue cty ni SGRArsenal akabidhiwe kombe lake maana naona ligi nzima timu zimekuwa underdogs.
Kesho tutaangalia game ya arsenal ,ila arsenal anaonekana hastruggle kupata matokeo Kama timu nyingine ....Liver tuna gundu yaani cty akiwa hovyo sisi ndio hovyo kabisa, tukiwa on fire basi ujue cty ni SGR