Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Mahrez anakismart na psg ,akikutana nao huwa anawanyoosha [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2346780Mr.champions league
Pep Leo kuhusus kuwin CLHuu msimu unaeza waendea mrama hii timu japo halaand anaeza funga magoli mengi.
amna ligi ya jf kule fantasy tuwakimbize[emoji16].wale wa fantasy,hainahaja ya kuumiza kichwa ni kumcaptain haaland tu then unasubili point zako kumwagika [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2346800
ipo mbonaamna ligi ya jf kule fantasy tuwakimbize[emoji16]
Tukutane meiHuu msimu unaeza waendea mrama hii timu japo halaand anaeza funga magoli mengi
Mkuu naomba code ya fantasy jf ,kama unayoipo mbona
Niliwacheki na Barcelona juzi ,walipigwa goli 3 ,kiufupi hawapo vizuri sana , kuchukua point 3 kwao inawezekana ....Leo haaland inatakiwa afungue akaunti ya mabao uefa....japo sevilla sio wanyonge kiviile....Leo watawakosa mabeki wao wawili
jinsi ya kuiona code pale nashindwa mkuu ngoja ni search ule Uzi wa mdau alietumaga codeMkuu naomba code ya fantasy jf ,kama unayo
Wewe timu yako ni ipiHii timu ina laana na makombe yote yatabebwa na nyumbu au arsenyeto nyie endeleeni kucheza kama bibi harusi laana fc waja laana nyie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Point moja[emoji16]Arsenal akabidhiwe kombe lake maana naona ligi nzima timu zimekuwa underdogs.
Mpo nafasi ya ngapi mashoga wa londonHahaha AstonVilla hawakupaka mkongo wa kutosha ..laa siivyo mungebanduliwa leo..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Sisi ndio mabingwa wa uefa CL ,wengine wote wanashiriki tu ...!Nyie kenge wa kipara hivi mnashiriki uefa ili kubeba ubingwa au mnasindikiza tu wanaume
Tunawapumulia apo kisogoni ..mkibinua kidogo tu ..tunawalaMpo nafasi ya ngapi mashoga wa london
Barca na usajili wao wote bado wanapigwa.Niliwacheki na Barcelona juzi ,walipigwa goli 3 ,kiufupi hawapo vizuri sana , kuchukua point 3 kwao inawezekana ....