The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

.wale wa fantasy,hainahaja ya kuumiza kichwa ni kumcaptain haaland tu then unasubili point zako kumwagika [emoji23][emoji23][emoji23]
official.mancity.fans-20220905-0001.jpg
 
Huu msimu unaeza waendea mrama hii timu japo halaand anaeza funga magoli mengi.
 
Leo haaland inatakiwa afungue akaunti ya mabao uefa....japo sevilla sio wanyonge kiviile....Leo watawakosa mabeki wao wawili
 
Leo haaland inatakiwa afungue akaunti ya mabao uefa....japo sevilla sio wanyonge kiviile....Leo watawakosa mabeki wao wawili
Niliwacheki na Barcelona juzi ,walipigwa goli 3 ,kiufupi hawapo vizuri sana , kuchukua point 3 kwao inawezekana ....
 
Nyie kenge wa kipara hivi mnashiriki uefa ili kubeba ubingwa au mnasindikiza tu wanaume
Sisi ndio mabingwa wa uefa CL ,wengine wote wanashiriki tu ...!

Leo haaland anafungua account za magoli huko ulayani [emoji91][emoji91]
 
Mahrez naona akistruggle kupata namba ,but pep anatakiwa kujua Mahrez ana kismart na uefa ,[emoji91]
 
Kama kawaida pep na grealish wake ,hivi kweli grealish ni WA kuanza mbele ya mahrezi [emoji23],akanji ndani ,gomez RB ....pep kajilipua Sasa ,hakuna namna [emoji23][emoji23][emoji23]
mancity_mcfc-20220906-0001.jpg
 
Back
Top Bottom