Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa yaani mi huwa nikimuona Grealish kwa game huwa matumaini yanatoweka ghafla aise huwa sina imani nae hata kidogo.Grealish hatakiwi kurudi kipindi Cha pili aisee ,Hana muunganiko mzuri ,....
Foden siku hizi ubunifu umepungua ,hawezi kabisa kudribble kuingia ndani ...
Hii game Alvarez anatakiwa kuingia kipind Cha pili na Mahrez ....
Tumeshindwa kutengeneza chance nyingi , ...
HT
Sevila 0-1 city