The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Baada ya mayowe mengi ,mahrezi kaanza ....waarabu walikuwa washaanza kuwasha moto kwann Mahrez anasugua bench [emoji23][emoji23][emoji23]
 
.
mancity-20220914-0001.jpg
 
Leo sijui tunacheza utopolo gani ,no energy ,passion , creativity,ni kupiga piga tu mpira [emoji848]
 
Etihad
[emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
 
Mahrez na grealish wanatakiwa kujitafakali ,sijui walikuwa wanafanya Nini uwanjan [emoji23][emoji23]
 
Toka Mahrez apate mkataba mpya daa amekuwa useless kabisa ...

Grealish naye anacheza sijui anawaza £100mill aliyosajiliwa [emoji23][emoji23][emoji23]hakuna kitu kabisa ...


Kwa tunapoelekea Mahrez na grealish watakula bench Sanaa ....mpaka watasahaulika ....Alvarez awe anaanza
 
Back
Top Bottom