The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Grealish anaiabisha jersey no.10 uwanjan ,back pass zake zinakera sana ,foden anaonesha uwezo mkubwa sana .....!

Mbaya zaidi kaitwa timu ya taifa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
.hizi forward za uingereza na midfielders zinanipa wasiwasi ,yaani kombe la Dunia wanaenda kuaibika walahi .....defender kibao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG-20220915-WA0122.jpg
 
Leo walker anaweza asiwepo kutokana na kwamba bado hajawa fit enough....
 
ila sijui grealish alimpa Nini pep [emoji23][emoji23][emoji23]mpaka tupigwe kwanza ndio atajua kuwa ile ni £100million inayopiga back pass tu
 
Starting XI.......ederson,stones,Diaz,akanji,cancelo,rodri,kdb,Bernardo,grealish,haaland,foden

Here we go baby
 
Grielish ni bonge LA player akiwa kwenye form na nafikiri ndio sababu ya guardiola kumpa muda zaidi..maybe jamaa ata regain
 
Grielish ni bonge LA player akiwa kwenye form na nafikiri ndio sababu ya guardiola kumpa muda zaidi..maybe jamaa ata regain
Kiufupi ule ndio uwezo wake wa mwisho jack ,usijekutegemea kikubwa zaidi ,...!
 
Back
Top Bottom