The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Nimefurahi dogo gomez kuanza Leo ila grielish dah......jamaa sijui kampa nini guardiola
 
Chelsea huko kapanda mtumbwi wa kimbwengo ,kapigwa moja Kama kasimama ,mpaka dakika 90 [emoji23][emoji23]
 
Grealish hatakiwi kurudi kipindi Cha pili aisee ,Hana muunganiko mzuri ,....

Foden siku hizi ubunifu umepungua ,hawezi kabisa kudribble kuingia ndani ...

Hii game Alvarez anatakiwa kuingia kipind Cha pili na Mahrez ....

Tumeshindwa kutengeneza chance nyingi , ...

HT
Sevila 0-1 city
 
Kabisa yaani mi huwa nikimuona Grealish kwa game huwa matumaini yanatoweka ghafla aise huwa sina imani nae hata kidogo.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Hawa sevila hivi walikuwa serious ,tumecheza Kama tupo kwenye mazoezi aisee[emoji23][emoji23] tukija kwenye league huwa tunakimbizwa hatari ...!!


Next :spurs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…