The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Grealish anaiabisha jersey no.10 uwanjan ,back pass zake zinakera sana ,foden anaonesha uwezo mkubwa sana .....!

Mbaya zaidi kaitwa timu ya taifa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Guadiola: I'm delighted with grealish


huyu jamaa bana
 
Leo walker anaweza asiwepo kutokana na kwamba bado hajawa fit enough....
 
ila sijui grealish alimpa Nini pep [emoji23][emoji23][emoji23]mpaka tupigwe kwanza ndio atajua kuwa ile ni £100million inayopiga back pass tu
 
I hope tutashuhudia mpira mzuri hasa sisi wengine tunaopenda mpira wa kutandaza...
 
Starting XI.......ederson,stones,Diaz,akanji,cancelo,rodri,kdb,Bernardo,grealish,haaland,foden

Here we go baby
 
Grielish ni bonge LA player akiwa kwenye form na nafikiri ndio sababu ya guardiola kumpa muda zaidi..maybe jamaa ata regain
 
Grielish ni bonge LA player akiwa kwenye form na nafikiri ndio sababu ya guardiola kumpa muda zaidi..maybe jamaa ata regain
Kiufupi ule ndio uwezo wake wa mwisho jack ,usijekutegemea kikubwa zaidi ,...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…