The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Performance ya foden ni hatari mpaka grealish anaonekana weak ...

Hapa kinachotokea ni kwamba foden anatafuta mkataba mpya na mnono ,hivyo basi ndio maana unaona anamapafu ya mbwa uwanjan ....

Unamjua Mahrez wa uefa ,? Psg wanamjua vzuri ,alikuwa anauwasha hatari ,...saizi kapooza vibaya mnoo ...nimekuja kugundua alikuwa anatafuta mkataba mpya ...baada tu ya kusain performance umepungua sijui huwa wanakubwa na Nini ....

Ona hata salah [emoji23] baada tu ya kusain mkataba Liverpool,sio yule salah tunae mjua ....
Huyu mahrez anataka kutuletea mambo ya Willian alivyokuwaga Chelsea...anakiwasha kweli akiwa anatak mkataba mpya ile akipewa tu mkataba mezani anaanza kulegeza.
 
Haaland kuachia ile namba ni ngum sana...na ata pep hawezi mueka nje mtu ambaye allmost every touch zake zinazaa magoli...itafika wakati alvarez ataanza muombea majeruhi mwenzie maana hamn namna sas ili yeye apate kudhihirisha kipaji chake...[emoji28][emoji28][emoji28]

Nasikitika sana na kiuhalisia kwangu mie...alvarez ni streka mzuri kwasababu anaoffer vitu vingi kidogo kuliko haaland kwaanzia pressing , pressure kwenye opposition deffenders na distribution of the ball to other team mates lakini sidhani kam goal scoring prowess/accuracy yake inafikia ya haaland.

Mie nashauri kama kweli anataka kumtumia alvarez abadili mfumo na kuacha kutumia ile 4-3-3...then ashift kwenye fluid 4-2-3-1...yani alvarez acheze nyuma ya haaland kam SecondStriker yaani iwe hivii...

Haaland

Foden. alvarez. Bernado.

Rodri. KDB/Gundo.

Cancelo/Gomez Walker/Cancelo.
Dias. Stones/Akanji.​

Sub: anaweza mtoa alvarez na kumpandisha KDB juu then Gundo acheze chini na rodri, nimemweka Bernado apo Right.Wing sababu mahrez saiv yupo nje ya kiwango chake kabisa.

Hapo alvarez atacheza ila shida...inakuja Mancity tumezoea kutanua uwanja na kufanya FullBacks zetu zipande na kucheza kama Extra.Midfilders na muda mwingine wingers, Sasa tunapochez mfumo huo wa 4-2-3-1...huwa inafanya timu inakuwa much Compacted na kushindwa kutanua uwanja hivyo kushindwa kubalance posession na diffending transition za opponent.

Ingawa kwa mfumo huu huwa ni rahisi kwetu kudefend counter za Opponent but bila ya kubalance posession tunashindwa kutengeneza chances za kutosha...na aina ya mpira wetu bila kufanya hivyo hatuna uhakika wa goals.
Mkuu pep ni moja ya makocha ambao huwa hawaamini plan b ,fuatilia historian yake na alishawahi kusema hadharani siku zote plan a ndio the best na ikifeli ni kuiboresha hakuna haja ya kuanza plan b ,Marcelo bielsa ni mojo ya mwalimu wa pep na simeon na yeye anamisimamo ile ile hakuna plan b Wala nin ndio maana alitaka kuishusha daraja Leeds united [emoji23][emoji23][emoji23]Yuko tayari kushusha timu daraja ila sio kubadili mfumo wake na mbinu zake anazoziamin Kama zimefeli....anaaamin katika kuboresha .....!

Pep kubadili mfumo sijajua ,maana hata Jesus alikuwa striker na alikuja pale kumrithi aguero lakin uliona alivompeleka winga ya kulia (RW) mpaka wachambuzi wakawa wanamlaumu ......

Hapa namuona Alvarez akifuata nyayo za Jesus ,soon ataanza kumchezesha kutoka pembeni ...
 
Haaland kuachia ile namba ni ngum sana...na ata pep hawezi mueka nje mtu ambaye allmost every touch zake zinazaa magoli...itafika wakati alvarez ataanza muombea majeruhi mwenzie maana hamn namna sas ili yeye apate kudhihirisha kipaji chake...[emoji28][emoji28][emoji28]

Nasikitika sana na kiuhalisia kwangu mie...alvarez ni streka mzuri kwasababu anaoffer vitu vingi kidogo kuliko haaland kwaanzia pressing , pressure kwenye opposition deffenders na distribution of the ball to other team mates lakini sidhani kam goal scoring prowess/accuracy yake inafikia ya haaland.

Mie nashauri kama kweli anataka kumtumia alvarez abadili mfumo na kuacha kutumia ile 4-3-3...then ashift kwenye fluid 4-2-3-1...yani alvarez acheze nyuma ya haaland kam SecondStriker yaani iwe hivii...

Haaland

Foden. alvarez. Bernado.

Rodri. KDB/Gundo.

Cancelo/Gomez Walker/Cancelo.
Dias. Stones/Akanji.​

Sub: anaweza mtoa alvarez na kumpandisha KDB juu then Gundo acheze chini na rodri, nimemweka Bernado apo Right.Wing sababu mahrez saiv yupo nje ya kiwango chake kabisa.

Hapo alvarez atacheza ila shida...inakuja Mancity tumezoea kutanua uwanja na kufanya FullBacks zetu zipande na kucheza kama Extra.Midfilders na muda mwingine wingers, Sasa tunapochez mfumo huo wa 4-2-3-1...huwa inafanya timu inakuwa much Compacted na kushindwa kutanua uwanja hivyo kushindwa kubalance posession na diffending transition za opponent.

Ingawa kwa mfumo huu huwa ni rahisi kwetu kudefend counter za Opponent but bila ya kubalance posession tunashindwa kutengeneza chances za kutosha...na aina ya mpira wetu bila kufanya hivyo hatuna uhakika wa goals.
Harafu mkuu mimi naona grealish pep amtoe ile nafasi anayocheza ,jack anacheza Kama winga lakin Kula haoneshi uwezo kabisa ,angecheza Kama CAM inaonekana anaweza kuwa vzuri japo kumtoa mtu Kama kdb ,gundo ,Bernado pale kati ni ngumu ......!

Bernado akicheza Kama wings ni bonge la mchezaji ,akitokea pembeni Kama one vs one na mguu ule wa kushoto anakuwaga hatari ,cheki lile goli la c. palace alivowafunga ,kuna goli lingeni Bernado aliwafunga nyumbu kutokea pembeni vile vile ...

Bernado apande tokee pembeni ,jack acheze Kama CAM ,tofauti na hapo jack tutaendelee kumuona useless ....
 
Halaand anafanya kazi ya kufunga ionekane rahisi sana
 
Halaand anafanya kazi ya kufunga ionekane rahisi sana
Kwenye football hakuna kitu kigumu Kama kufunga mzee ,yaani kuweka mpira nyavuni sio mchezo [emoji23] ,Kama wanaona kufanya vile ni rahisi kawaulize kina Nunez,salah , Ronaldo..!!
 
United msimu huu ikikutana na timu kubwa inakaza ,weekend ijayo tuko nao ....!!

Hii game pep hatakiwi kuleta masiala kabisa ,ni aibu kufungwa na nyumbu kwa wakati huuu ,yaani manure wakitufunga itakuwa aibu kubwa sana ....!!!
 
Hivi mnataka kusema TAA anaejua kumtumia ni klopp tu maana huko kwenye timu ya taifa Southgate hamuelewi kabisa [emoji23]....anakwambia yeye haoni tatizo lolote maana walker na trippier ni machine ....

TAA anaweza hata asionekana kombe la Dunia....

Southgate yupo tayari kuwaamin kina Maguire ,shaw ,rice ambao hawana winning mentality hasa kwenye game kubwa na ngumu ,....england naiona ikitoka hatua ya makundi tu world cup...
 
.
mancity-20220926-0001.jpg
 
Haya ma mechi ya kimataifa kipindi cha ligi yanatuumizia wachezaj yan dah...stones out of action
 
Mwez wa kumi ratiba sio rafiki sana
Ratiba ni ngumu na ipo tight kwa top-4 wote pale juu kasoro kwa chelsea nafikiri...ila city akiwez toka salama mwezi huu pasipo kupoteza mchezo basi tunajiweka position nzuri zaid ya kutetea ubingwa wetu kwa mara nyingine tena.
 
Haya ma mechi ya kimataifa kipindi cha ligi yanatuumizia wachezaj yan dah...stones out of action
Hilo ni tatizo na chakushukuru pep aliliona mapema kuzingatia na situation ya lapotre...na bwana.Txikik akamletea akanji...nadhani atatusaidia sana katika mazingira kama haya.
 
Haya ma mechi ya kimataifa kipindi cha ligi yanatuumizia wachezaj yan dah...stones out of action
Stone kaumia lakin sio injury kubwa sana , Laporte anaweza kurudi mwezi huu .....akanji yupo fit na dias ...
 
Back
Top Bottom