Haaland kuachia ile namba ni ngum sana...na ata pep hawezi mueka nje mtu ambaye allmost every touch zake zinazaa magoli...itafika wakati alvarez ataanza muombea majeruhi mwenzie maana hamn namna sas ili yeye apate kudhihirisha kipaji chake...[emoji28][emoji28][emoji28]
Nasikitika sana na kiuhalisia kwangu mie...alvarez ni streka mzuri kwasababu anaoffer vitu vingi kidogo kuliko haaland kwaanzia pressing , pressure kwenye opposition deffenders na distribution of the ball to other team mates lakini sidhani kam goal scoring prowess/accuracy yake inafikia ya haaland.
Mie nashauri kama kweli anataka kumtumia alvarez abadili mfumo na kuacha kutumia ile 4-3-3...then ashift kwenye fluid 4-2-3-1...yani alvarez acheze nyuma ya haaland kam SecondStriker yaani iwe hivii...
Haaland
Foden. alvarez. Bernado.
Rodri. KDB/Gundo.
Cancelo/Gomez Walker/Cancelo.
Dias. Stones/Akanji.
Sub: anaweza mtoa alvarez na kumpandisha KDB juu then Gundo acheze chini na rodri, nimemweka Bernado apo Right.Wing sababu mahrez saiv yupo nje ya kiwango chake kabisa.
Hapo alvarez atacheza ila shida...inakuja Mancity tumezoea kutanua uwanja na kufanya FullBacks zetu zipande na kucheza kama Extra.Midfilders na muda mwingine wingers, Sasa tunapochez mfumo huo wa 4-2-3-1...huwa inafanya timu inakuwa much Compacted na kushindwa kutanua uwanja hivyo kushindwa kubalance posession na diffending transition za opponent.
Ingawa kwa mfumo huu huwa ni rahisi kwetu kudefend counter za Opponent but bila ya kubalance posession tunashindwa kutengeneza chances za kutosha...na aina ya mpira wetu bila kufanya hivyo hatuna uhakika wa goals.