The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

United msimu huu ikikutana na timu kubwa inakaza ,weekend ijayo tuko nao ....!!

Hii game pep hatakiwi kuleta masiala kabisa ,ni aibu kufungwa na nyumbu kwa wakati huuu ,yaani manure wakitufunga itakuwa aibu kubwa sana ....!!!
[emoji23][emoji23][emoji23] Tunapaki basi tu, mkipanda ni mwendo wa counter.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Tunapaki basi tu, mkipanda ni mwendo wa counter.
Daaa harafu rashford na mbio zake zilee ndio wa kumuangalia ,maana ndio kawafanya kitu mbaya arsenal na Liverpool wote ...!

Hapa Cha mhimu timu ikipanda nyuma atabaki akanji na dias,then tuone hizo counter attack zenu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna cha kaunta wala babu yake na kaunta ni kichapo tuu
 
Hakuna cha kaunta wala babu yake na kaunta ni kichapo tuu
Mkuu Hawa wanaenda kumkamia haaland ,mpaka hatapumua ...!

Ni nafasi Sasa kdb ,foden ,gundo ,kumaliza game ,wakija na mbinu za kumu mark halaand asitembee ....

Maana haaland alishasema live ,team ambayo anataman kukutana nayo hata kuifunga ni manyumbu [emoji23]
 
Hii game wakijitahidi sana ni draw but uwezo wa wao kuchukua point 3 kwetu haupo na hata wao wanafahamu hilo.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Kimsingi jamaa wanaweza kutuua kwenye kaunta kama tukikaa kizembe si unaona spurz ambavyo huwa wanatufanya...na man u ni mlemle hiyo game inatakiwa umakini sana wakati wa attacking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…