Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Sunday picture [emoji91]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaacha kuumia grielish anaumia stones dahStone kaumia lakin sio injury kubwa sana , Laporte anaweza kurudi mwezi huu .....akanji yupo fit na dias ...
Sunday picture [emoji91]View attachment 2370635
[emoji23][emoji23][emoji23] Tunapaki basi tu, mkipanda ni mwendo wa counter.United msimu huu ikikutana na timu kubwa inakaza ,weekend ijayo tuko nao ....!!
Hii game pep hatakiwi kuleta masiala kabisa ,ni aibu kufungwa na nyumbu kwa wakati huuu ,yaani manure wakitufunga itakuwa aibu kubwa sana ....!!!
Daaa harafu rashford na mbio zake zilee ndio wa kumuangalia ,maana ndio kawafanya kitu mbaya arsenal na Liverpool wote ...![emoji23][emoji23][emoji23] Tunapaki basi tu, mkipanda ni mwendo wa counter.
Mkuu Hawa wanaenda kumkamia haaland ,mpaka hatapumua ...!Hakuna cha kaunta wala babu yake na kaunta ni kichapo tuu
Kimsingi jamaa wanaweza kutuua kwenye kaunta kama tukikaa kizembe si unaona spurz ambavyo huwa wanatufanya...na man u ni mlemle hiyo game inatakiwa umakini sana wakati wa attackingHii game wakijitahidi sana ni draw but uwezo wa wao kuchukua point 3 kwetu haupo na hata wao wanafahamu hilo.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Sisi Kila game ni final ,so we are going to fight until the last cell..!