Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Huyu kijana yupo vizuri...lakini inatakiwa aachane na kick za media na hasa BabaYake ata kama anakula kupitia mwanae.
Siamin Kama haya maneno kayaongea haaland akiwa kashasain city .....itakuwa kipindi yupo Dortmund ana injury' na rumors za kutoka zilipokuwa nyingi ....!!Huyu kijana yupo vizuri...lakini inatakiwa aachane na kick za media na hasa BabaYake ata kama anakula kupitia mwanae.
Wawe makini si jambo jema kuongea upuuzi kama huu na uku una mkataba wa miaka.5 na City amesaini juz tu ata miezi.6 bado...washaanza kutafuta Headlines za Transfer tyar.
View attachment 2372002
Aangalie yasije yakamkuta yale yaliyomkuta Mo Salah.
Tutapiga mtu kama ngomaDerby preparation...!View attachment 2371908
Sidhani mkuu maana hii taarifa nimeona inepostiwa kwenye media kubwa za sports kama.4 ivi hapo jana...Siamin Kama haya maneno kayaongea haaland akiwa kashasain city .....itakuwa kipindi yupo Dortmund ana injury' na rumors za kutoka zilipokuwa nyingi ....!!
Hhh!...mkuu saiv sio kama ngoma tena, Ni tunapiga kama wametuibia Mke vile. 😅😅😅Tutapiga mtu kama ngoma
Yani nyie tutapiga asee ..mtaishia kuwafunga hao wajingawajinga wasiojielewa sio sisi....we are the citizensJumapili mambo jinsi yatavyo kuwa.View attachment 2372489
Labda kama mpira umeanza kufatilia leo. Huyo Haalanda ashakutana na The Butcher mara kadhaa na hajatikisa nyavu.Kesho tutaupiga mwingi sioni nyumbu watachomokea wapi hata kwa hizo kaunta..kile kimbilikimo sio cha kumkaba haaland
Sawa tuko hapaLabda kama mpira umeanza kufatilia leo. Huyo Haalanda ashakutana na The Butcher mara kadhaa na hajatikisa nyavu.
Hiki ndio kikosi Cha mauaji lakin tegemea kumuona kipenzi Cha pep grealish [emoji23][emoji23]....Kesho naona twende na hii
foden........haaland........Bernardo
De bruyne.....rodri........gundogan
Cancelo...akanji/ake...Diaz..walker
Ederson
Huu mzigo ukiingia uwanjan nyumbu 3+ zinamuhusu
Mimi binafsi man UTD huwa nawaogopa sana kwenye big game ,huwa Wana turn up na kujitoa kwa hali na mali ....!Labda kama mpira umeanza kufatilia leo. Huyo Haalanda ashakutana na The Butcher mara kadhaa na hajatikisa nyavu.
Mkuu manyumbu kwenye game kubwa huwa wanajitoa hatari ,Wana kamia ,kumbuka game ya Liverpool na arsenal ,...Kesho tutaupiga mwingi sioni nyumbu watachomokea wapi hata kwa hizo kaunta..kile kimbilikimo sio cha kumkaba haaland