The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

.
FB_IMG_16644751170079001.jpg
 
Huyu kijana yupo vizuri...lakini inatakiwa aachane na kick za media na hasa BabaYake ata kama anakula kupitia mwanae.

Wawe makini si jambo jema kuongea upuuzi kama huu na uku una mkataba wa miaka.5 na City amesaini juz tu ata miezi.6 bado...washaanza kutafuta Headlines za Transfer tyar.

View attachment 2372002
Siamin Kama haya maneno kayaongea haaland akiwa kashasain city .....itakuwa kipindi yupo Dortmund ana injury' na rumors za kutoka zilipokuwa nyingi ....!!
 
Siamin Kama haya maneno kayaongea haaland akiwa kashasain city .....itakuwa kipindi yupo Dortmund ana injury' na rumors za kutoka zilipokuwa nyingi ....!!
Sidhani mkuu maana hii taarifa nimeona inepostiwa kwenye media kubwa za sports kama.4 ivi hapo jana...

Hivi yawezekan kweli ikawa taarifa ya kabla hajaja City kwel?...maana apo naona nikama juzi alivyokuwa kwenye national team Call-up,

Nandio maana waona apo mzee wake kasema (He Could have/Angeweza kuwa germany kwa 2.5 yrs).
 
Kesho naona twende na hii

foden........haaland........Bernardo


De bruyne.....rodri........gundogan


Cancelo...akanji/ake...Diaz..walker


Ederson



Huu mzigo ukiingia uwanjan nyumbu 3+ zinamuhusu
 
Kesho tutaupiga mwingi sioni nyumbu watachomokea wapi hata kwa hizo kaunta..kile kimbilikimo sio cha kumkaba haaland
 
Kesho naona twende na hii

foden........haaland........Bernardo


De bruyne.....rodri........gundogan


Cancelo...akanji/ake...Diaz..walker


Ederson



Huu mzigo ukiingia uwanjan nyumbu 3+ zinamuhusu
Hiki ndio kikosi Cha mauaji lakin tegemea kumuona kipenzi Cha pep grealish [emoji23][emoji23]....


Moja ya kitu ambacho kinaenda kumharibia pep na kuendelea kuamin kuwa grealish ni world class player ....
 
Labda kama mpira umeanza kufatilia leo. Huyo Haalanda ashakutana na The Butcher mara kadhaa na hajatikisa nyavu.
Mimi binafsi man UTD huwa nawaogopa sana kwenye big game ,huwa Wana turn up na kujitoa kwa hali na mali ....!

Huwa wanakamia Sanaa kuwafurahisha mashabiki zao maana baada ya hapo upepo hukata na kurudi hali yao ...

Mtu pekee ambaye nahofia ni rashford na martial maana ndio hwa wanatuotea ....

Hii game sio nyepesai kabisa ....
 
Kesho tutaupiga mwingi sioni nyumbu watachomokea wapi hata kwa hizo kaunta..kile kimbilikimo sio cha kumkaba haaland
Mkuu manyumbu kwenye game kubwa huwa wanajitoa hatari ,Wana kamia ,kumbuka game ya Liverpool na arsenal ,...

Usitegemee game kuwa nyepesi ,naiona game ikiwa ngumu Sanaa ....
 
Back
Top Bottom