Na hapo mkuu kumbuka wote ni just.22 yrs old tu + alvarez nae ni 22 yrs...hii ni hazina kubwa kwa City mkuu.Hawa madogo hawa...
Haaland akijaa bichwa kama mbape itakua tatizo a seeNa hapo mkuu kumbuka wote ni just.22 yrs old tu + alvarez nae ni 22 yrs...hii ni hazina kubwa kwa City mkuu.
Ila naona kila dalili ya huyu mtoto kutimkia RealMadrid apo baadae kwa kuhitaji zaidi UEFA NA BALLON D'OR...Hivyo ni lazim tuchukue UEFA Ndani ya hii miaka miwili ili asije kufikiria kuondoka uko mbeleni.
Katika hatua ya makundi sina shaka kuvuka lazima ila katika hatua ya ROBO NA NUSU FAINALI...ndo tatizo sasa, pep itabidi ahakikishe wachezaji karibia wote wanarudisha Form zao haraka sana kabla mambo hayajawa magumu.Haaland akijaa bichwa kama mbape itakua tatizo a see
Kuhusu uefa hapo inatakiwa tukomae ...tena haswaa
Our playing style huwa haitupi favour kwenye uefa...tuna concede sanaa
Game ya arsenal imeahirishwa mkuu,arsenal atakuwa anacheza kiporo chake na psv Europa walicho acha wakati wa msiba wa malikia ....Hii
Nzuri sana kuwapumzish vijana maana game za EPL ni ngumu...ukizingatia tuna game na Liver na Asenal kabla ya likizo ya WorldCup!!!
Anhaa!...sawa ila aelewe kabisa kuwa #ata ikichezwa Jan. bado KIPIGO KIPO PALE PALE.Game ya arsenal imeahirishwa mkuu,arsenal atakuwa anacheza kiporo chake na psv Europa walicho acha wakati wa msiba wa malikia ....
Uefa ni swala la muda tu ...Haaland akijaa bichwa kama mbape itakua tatizo a see
Kuhusu uefa hapo inatakiwa tukomae ...tena haswaa
Our playing style huwa haitupi favour kwenye uefa...tuna concede sanaa
Labda mwehu tu ndo anweza kumpinga haaland...Sasa kama hadi Moja ya mastriker hatari duniani wa kizazi chake #LuisSuarez anamkubali Haaland...nani wa kupinga.
#GameRECOGNIZEGame
View attachment 2375735
View attachment 2375738
Sana ndugu...ukiona mastriker kama Suarez anaongea hivi, basi ni dhahiri haaland ni another level...Labda mwehu tu ndo anweza kumpinga haaland...
#YNWa
Hakuna raha Kama kuwafunga nyumbu ....
Kabla ya game kuanza nilijua kabisa Hawa united wamemfunga Liverpool na arsenal kwa kucheza count attack za rashford na Sancho ...
Pep aliligundua mapema sana ,ndio maana ake na akanji walikuwa nyuma kabisa ,cancelo na walker walitanua uwanja pembeni kabisa tukawa 2-3 ,benrdo akawa anarudi nyuma kabisa kuchkua mipira wakawa namba 6 wawil gundo na Bernado ndio maana hukuweza kuona Mikimbio ya rashford na Antony kuingia kwenye box...
ilifika muda ederson akawa sehemu ya mchezo ederson - ake ,akanji ,-----cancelo, walker wametanua uwanja , rashford akija kupress na Bruno ziliuwa zinapigwa pass tu kuwatoka mbele Mikimbio ya kdb na haaland iliwamaliza united ,hakuna Cha malacia wa varane [emoji23][emoji23][emoji23]....
Hii ndio dawa ya timu zinazotegemea counter ,Nina hamu na spurs mbwa wale wanapenda sana kuvizia ,na last time walitufunga kwa kuvizia counter attack ...!!!View attachment 2376393
SurelyIla kwenye aya maisha hakuna jambo zuri kama #UVUMILIVU maana zamu ya mtu ikifika huwezi kuizuia kabisa.
#FODEN ametoka mbali sana pale City kutoka kuwa muokota mipira akiwa akademi ya City hadi kuwa #StarBOY...#GodBLESSHim.
View attachment 2376506