Narekeremo
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 714
- 755
Pale City saiv kuna #BalaaZITO.The PHD trio, Phil, Haaland and De Bruyne[emoji123][emoji122][emoji122][emoji122]
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Hawa kina Man u, Chelsea, kuku, Arsenal na Tot. Msimu huu tuwagongeshe nje ndani ili heshima iongezeke.Pale City saiv kuna #BalaaZITO.
Tena kama Spurz ndo sina wasiwasi kabisa maana huwa anatusumbuaga na yote ilikuwa sababu hatuchezi na typical striker...Hawa kina Man u, Chelsea, kuku, Arsenal na Tot. Msimu huu tuwagongeshe nje ndani ili heshima iongezeke.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Yani kiukweli tukilikosa hili kombe msimu huu itakua ni laana sasa.Mwisho wasimu wamekubali kuwa UEFA Kuja City awamu hii...HAIEPUKIKI, japo nionavyo mimi kitakacho determine bingwa wa UEFA na ata EPL pia ni fitness ya wachezaji baada ya world cup kuisha.
View attachment 2376852
View attachment 2376855
Unateseka ukiwa wapi .........Labda UEFA ya playstation
Kazi na uwezo wa kdb unajulikana mkuu hiyo haina kujadili kabisa...Mnamsifia Sana Haland mnasahau mpishi KDB
U are right.Kazi na uwezo wa kdb unajulikana mkuu hiyo haina kujadili kabisa...
Man city tulikua tumekosa clinical finisher wa kuzitendea haki pass za kdb ila kaja jini mambo yamebadilika kabisa pale mbele....
Tunamsifu haaland kwa sababu anajitahidi Ku convert kila chance anayopata...
Chance alizopata haaland angekua sterling angekuwa na goli 3 au 4 saivi