The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Wenzetu wazungu hawana unafiki...kama unajua unajua tu...ata kama upo timu pinzani utapewa Credit zako.
 
Nilichompendea haaland hana ubinafsi yule kijana maana yeye ndio MOTM(man of the match due to his 3goals+2assists contribution in the match).
20221004_111205.jpg

Na alivyopewa tuzo yake...wakati wa POST-MATCH INTERVIEW...Akampa Foden pale pale....vijana wana bond nzuri tutegemee makubwa kati yao.

Hawa kina Man u, Chelsea, kuku, Arsenal na Tot. Msimu huu tuwagongeshe nje ndani ili heshima iongezeke.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Tena kama Spurz ndo sina wasiwasi kabisa maana huwa anatusumbuaga na yote ilikuwa sababu hatuchezi na typical striker...

sasa dawa yao imepatikana ni kama ilivyokuwa kwa palace tu walitusumbua lakini tukawakomesha msimu huu.
 
Mwisho wasimu wamekubali kuwa UEFA Kuja City awamu hii...HAIEPUKIKI, japo nionavyo mimi kitakacho determine bingwa wa UEFA na ata EPL pia ni fitness ya wachezaji baada ya world cup kuisha.

20221004_111313.jpg

20221004_111253.jpg
 
#LEGEND Aguero kakubali kazi za vijana pale mbele, maana hakuna namna watu wanajichukulia point.3 kibabe sana huku wakigawana mipira tu kama karanga 💪💪💪

20221004_111432.jpg

20221003_121300.jpg
 
Takwimu hazidanganyi...msako ulikuwa mkali mno...hasa kipindi cha kwanza yani ata zile 4 zenyewe walijitahidi kuzuia sana bila ya hivyo tungeona Dhahama kubwa sana.

20221004_111558.jpg
 
Ichi kitasa hakuna anaeamini kama kimepatikana kwa bei Cheee!...wakati kuna watu wamesajili mabeki kwa £85m.🤣🤣🤣

20221004_111807.jpg
 
Derby turned to be #ManCity training Sessions, that was #EPIC!!! 🔥🔥🔥
20221004_111730.jpg

Kiatu kimebebwa mapema sana ata kabla ya nusu msimu yani.👊👊👊
20221004_111834.jpg

Best POZINAN CELEBRATION Ever at etihad...😍😍😍
20221004_111913.jpg

Best Scenes at the Etihad....atmosphere was cool, as Manchester Was #TotalBLUE!!!💪💪💪
20221004_111748.jpg
 
Mwisho wasimu wamekubali kuwa UEFA Kuja City awamu hii...HAIEPUKIKI, japo nionavyo mimi kitakacho determine bingwa wa UEFA na ata EPL pia ni fitness ya wachezaji baada ya world cup kuisha.

View attachment 2376852
View attachment 2376855
Yani kiukweli tukilikosa hili kombe msimu huu itakua ni laana sasa.

Japo ni mapema mno lakini sioni sababu ya kutufanya tushindwe kunyakua huyo mwali....tukutane mei
 
Mnamsifia Sana Haland mnasahau mpishi KDB
Kazi na uwezo wa kdb unajulikana mkuu hiyo haina kujadili kabisa...

Man city tulikua tumekosa clinical finisher wa kuzitendea haki pass za kdb ila kaja jini mambo yamebadilika kabisa pale mbele....

Tunamsifu haaland kwa sababu anajitahidi Ku convert kila chance anayopata...

Chance alizopata haaland angekua sterling angekuwa na goli 3 au 4 saivi
 
U are right.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom