The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Leo nahisi tutacheza kwa kurelax au tukakiwasha first half then second half tukafanya mazoezi tu......
 
Leo haaland aanze afunge hata goli moja tu inatosha ...amuachie na Alvarez....
 
XI

Haaland..............Alvarez


Foden.....gundo.....rodri....mahrez


Cancelo.....ake.......Diaz.....stones


S.Ortega
 
Dogo Gomez hii game angeanza ila ndo hivyo red card inemuharibia
 
Haya Sasa Ortega kazi yake kuonesha Kama anaweza kuanza kwenye PL ....
Mahrez ajitahidi kurudi kwenye uweZo wake hizi mechi ni za kumrudishia imani kocha sema jamaa huwa anarukaruka tu hata hizi mechi chache anazopata.......na confidence yake imeshuka sana....

Ngoja Leo tumuone
 
Pole sana maana Liverpool hamna chenu msimu huu [emoji23]...mwaka wa Saba wa laana ya klopp unawaandama ,hawezi kibaki lazima aondoke [emoji23][emoji23]
Tunafagia takataka zote zilizovamia pale juu kileleni
 
Mahrez ajitahidi kurudi kwenye uweZo wake hizi mechi ni za kumrudishia imani kocha sema jamaa huwa anarukaruka tu hata hizi mechi chache anazopata.......na confidence yake imeshuka sana....

Ngoja Leo tumuone
Mtakuka Sana mwaka huu[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…