Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Katika timu zitakazo sumbua epl ,watu wanazichukulia poa ni Newcastle na Brighton ...Spurs nao ni wapuuzi tu japo hata sisi tulishindwa lakin Newcastle ni wa kawaida tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika timu zitakazo sumbua epl ,watu wanazichukulia poa ni Newcastle na Brighton ...Spurs nao ni wapuuzi tu japo hata sisi tulishindwa lakin Newcastle ni wa kawaida tu
Dortmund sio wa mchezo na bado hawajafuzu , tegemea wakikamia gameLeo haaland aanze afunge hata goli moja tu inatosha ...amuachie na Alvarez....
Yap watakamia na gem itakua ngumu iyo iko waziDortmund sio wa mchezo na bado hawajafuzu , tegemea wakikamia game
Na bado😂😂Yap watakamia na gem itakua ngumu iyo iko wazi
Bado niini sasa...kila anayejilengesha mbele tunamnywa za kutosha...unamjua haaladinho wewe...fodeninho je? Hahahaa raha sanaNa bado😂😂
Yupi?huyu?Bado niini sasa...kila anayejilengesha mbele tunamnywa za kutosha...unamjua haaladinho wewe...fodeninho je? Hahahaa raha sana
Yani nyinyi mnaingia kucheza kung fu uwanjani matakataka nyieYupi?huyu?View attachment 2397842
Haya Sasa Ortega kazi yake kuonesha Kama anaweza kuanza kwenye PL ....Dogo Gomez hii game angeanza ila ndo hivyo red card inemuharibia
Pole sana maana Liverpool hamna chenu msimu huu [emoji23]...mwaka wa Saba wa laana ya klopp unawaandama ,hawezi kibaki lazima aondoke [emoji23][emoji23]Yupi?huyu?View attachment 2397842
Mahrez ajitahidi kurudi kwenye uweZo wake hizi mechi ni za kumrudishia imani kocha sema jamaa huwa anarukaruka tu hata hizi mechi chache anazopata.......na confidence yake imeshuka sana....Haya Sasa Ortega kazi yake kuonesha Kama anaweza kuanza kwenye PL ....
Na hii ya huyu mhuni wenu tuiitaje?Yani nyinyi mnaingia kucheza kung fu uwanjani matakataka nyie
Tunafagia takataka zote zilizovamia pale juu kileleniPole sana maana Liverpool hamna chenu msimu huu [emoji23]...mwaka wa Saba wa laana ya klopp unawaandama ,hawezi kibaki lazima aondoke [emoji23][emoji23]
Mtakuka Sana mwaka huu[emoji23]Mahrez ajitahidi kurudi kwenye uweZo wake hizi mechi ni za kumrudishia imani kocha sema jamaa huwa anarukaruka tu hata hizi mechi chache anazopata.......na confidence yake imeshuka sana....
Ngoja Leo tumuone
Kwa hiyo michezaji yenye kaswende heheheTunafagia takataka zote zilizovamia pale juu kileleni