Majamaa yalipaki matrekta asee....heroics za kdb zimetunyanyuaPep Guardiola says there was no space for Julián Álvarez against Leicester City Football Club . Leicester away is always ‘complicated’.View attachment 2401542
Dakika za mwisho tulipekewa moto dah....ilinibidi nibane mbupu.Kuna mechi ambazo Pep Guardiola hatojali kiwango bali atataka matokeo tu , sio kwamba Man City tulikuwa vibaya , hapana bali Leicester walikuwa wabishi sana
.Leicester City walianza mechi kwa kucheza 4-5-1 Vardy akiwa mbele peke yake na pengine inawezekana Ederson aligusa mpira mara nyingi zaidi ya Vardy kwasababu Leicester walikuwa nyuma sana na City walikaa sana na mpira na hata Leicester wakipata mpira hasa dakika 60 za mwanzo mbele walikuwa wanaenda wachezaji wachache sana ( Vardy Barnes na Maddison ) tu
.Wakati Man City na 4-3, KDB na Gundo kwenye namba 8 wawili nyuma ya kiungo cha Leicester , kwenye build yao hawakuhitaji kuwa wengi sana kama wanavyofanya mechi zingine kwasababu Leicester walikuwa na mchezaji mmoja tu mbele ( walibaki Akanji Laporte na mara kadhaa Stones ) lakini City hawakupata sana spaces za kucheza mpaka mpira uliokufa wa KDB uliotinga wavuni
.Nafikiri kuanzia dakika ya 70 mchezo ulikuwa tofauti na Leicester nafikiri walikuwa timu bora katika dakika 20 za mwisho kutoka 4-5-1 mpaka 4-2-3-1 ( Maddison kwenye namba 10 , Tielemans na Mendy kwenye kiungo huku Tielemans akiwa na uhuru wa kusogea juu zaidi ya Mendy ) na hapo Leicester walianza kushambulia zaidi, pressing , pass mpira vizuri , walishinda hata mipira ya pili mingi zaidi ya City , pongezi kwa City tu walizuia vizuri na hawakutaka kufanya mambo mengi nyuma zaidi ya kuuhamisha haraka mpira kwenda mbele
NOTE
1: Leicester wanaweza kupata matunda ya kumvumilia Rodgers maana katika mechi kama 4 zilizopita unaona uimara umerejea
2: Golikipa huwa wanavuna alama kwa timu zao na Ederson leo kavuna alama 3 kwa City , mkwaju mkali ( Volley ) ya Tielemans kaugusa kidogo na kugonga mwamba wa juu
3: ILE FREEKICK YA KDB [emoji91] hakuna Kipa yoyote Duniani anaokoa
Mkuu hao tutaenda nao hivyohivyo ....fixture zetu zilizobaki kabla ya kombe LA dunia ni rafiki ukilingabisha na wao...japo hakuna timu nyepesi EPLJamaa wa arsenal wameshinda 5 ...msimu huu wanajitahidi kupambana
Nimeona arsenal wiki ijayo yuko na chesea hapo patamu ..sisi inatakiwa tushinde tu mechi zetu hizi za Fulham na Brentford twende break tukiwa vinaraMkuu hao tutaenda nao hivyohivyo ....fixture zetu zilizobaki kabla ya kombe LA dunia ni rafiki ukilingabisha na wao...japo hakuna timu nyepesi EPL
Hao ni mbio za sakafuni wala wasikutisheJamaa wa arsenal wameshinda 5 ...msimu huu wanajitahidi kupambana
Yap moto utakata tu ila ni muhimu na sisi tushinde mechi zetu kadri tuwezavyo ili tutetee kikombe
Kwanza Mimi naona hii game ya Sevilla kdb ,halaand ,bernanrdo ,cancelo wote wapumzike ,kufika jumamoss tuwe na energy ya kutosha ,Fulham sio timu ya mchezo .....harafu siku hizii epl hakuna timu nyepesiFixture zetu zilizobaki kabla ya world cup tuko etihad nafikiri hii itasaidia kupunguza uchovu wa kusafirisafiri
Yap ..hii game ni ya kina ortega ,rico lewis ,josh esbrand, palmer ,mahrez ,grielish japo nahisi foden pia anaweza kuanza ila sio dakika zoteKwanza Mimi naona hii game ya Sevilla kdb ,halaand ,bernanrdo ,cancelo wote wapumzike ,kufika jumamoss tuwe na energy ya kutosha ,Fulham sio timu ya mchezo .....harafu siku hizii epl hakuna timu nyepesi
Man city team la dunian,Kama huangalii na kufutalia hii team basi unakosa uhondo wa mpira ,kashabikie mieleka ...Kwahiyo nyie humu mnaipenda kabisa Man City[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]