Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo ndo ukweli wenyewe.Man city team la dunian,Kama huangalii na kufutalia hii team basi unakosa uhondo wa mpira ,kashabikie mieleka ...
Saizi vibanda umiza vyote vinaweka game za city hata Kama anacheza na Fulham pekee yake ,na wanajaza ,tofauti na siku za nyuma ,nilikuwa nakuta ma game yaan UTD na Chelsea sijui arsenal ......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo ndo ukweli wenyewe.
Nina miaka sijui mi 3 sijawahi kuingia humu,kumbe Kuna mashabikiKwahiyo nyie humu mnaipenda kabisa Man City[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo bossNina miaka sijui mi 3 sijawahi kuingia humu,kumbe Kuna mashabiki
Jamaa yuko vizuri[emoji2424] Pep Guardiola: "Julián Álvarez had two assists! I would say there is not one person in the locker room today, staff and players, who's not happy for him. He's a special guy. He has an incredible work ethic. He made two assists and scored one. The goal is not easy.."View attachment 2405519
Sio humu tu hata jf ulikuwa huna uwezo wa kuingia ,[emoji23][emoji23][emoji23]timu Kama arsenal unapata wapi ubavu wa kuingia kwenye room la mabingwa wa uingereza...! Mimi sishangai kabisa ...Nina miaka sijui mi 3 sijawahi kuingia humu,kumbe Kuna mashabiki
Leo haaland uhakika kabisaHivi na Leo kumbe tunaweza kumkosa haaland
Hichi kichalii inaonekana kikipata experience na muda wa kutosha ni balaa
Dogo anakiwasha balaaa ,anajiamin akiwa na mpira ,ana nguvu ....full packageHichi kichalii inaonekana kikipata experience na muda wa kutosha ni balaa
Sema ndio hivo epl haijawahi kuwa nyepesi ,ila point 3 Leo mhimu ....Leo Fulham tuwagoñge 3 zinatosha ila wakijichanganya hata 5 watakula...
Huyo mitrovich ni wa kumchunga