The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Tuendelee kuhesabu magoli ya Halaand. Siyo lazima kuhesabu point kwa sasa. Wacha washika bunduki wai enjoy Pale juu
 
Wow[emoji23]
mancity_mcfc-20221105-0002.jpg
 
Huu ushindi ni dalili ya ubingwa ,hata kwenye nyakati ngumu 3 point zinapatika ...

Let's go .....

Next Chelsea.....
 
Daaaa sijui grealish anamatatizo gani ,kiufupi huu msimu ukiisha sioni Kama anafaa kiendelee kukaa city ,Bora atafute sehemu ya kwenda ....
 
Kesho Chelsea anamfumua Arsenal Alafu ndo imetoka hyo pale juu atushuki tena mpka world cup inaisha
 
Hii timu inashindaga huku EPL kwa msaada wa marefa ndo maana kule Uefa huwa wanaumbuka mxiuuu
Meza panado ulale , kuichukia man city ni kujitakia maumivu makali sana [emoji23] na utateseka sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom