Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Tuendelee kuhesabu magoli ya Halaand. Siyo lazima kuhesabu point kwa sasa. Wacha washika bunduki wai enjoy Pale juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumekula red card mapema sana ila tumewasaka utafikili tulikuwa 11 uwanjan [emoji23]tumecheza kibingwa sana congratulations the citizens
Red card rahisi sana Fulham wamepewa ....Penalty rahisi sana Man City kapewa
Hawa vijana walitaka kutuchafulia jukwaa leo dah!Tumekula red card mapema sana ila tumewasaka utafikili tulikuwa 11 uwanjan [emoji23]
Oya mkali , siunuona lakini sasa hivi uzi unang'arishwa na Halaand siyo Tevez Tena.🗓️🗓️Mhh..hii thread hivi itadumu kweli?
Haya na wewe kesho waombe huo msaada.Hii timu inashindaga huku EPL kwa msaada wa marefa ndo maana kule Uefa huwa wanaumbuka mxiuuu
Meza panado ulale , kuichukia man city ni kujitakia maumivu makali sana [emoji23] na utateseka sana [emoji23][emoji23][emoji23]Hii timu inashindaga huku EPL kwa msaada wa marefa ndo maana kule Uefa huwa wanaumbuka mxiuuu