The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mkuu Pain killer niliona post yako moja unalalamika kuhusu fighting spirit nafikiri umeona vijana wanavyojituma
itamchukua miaka mingi pep kuamini kuwa grealish Hana uwezo wa zaidi ,na kwa mwendo ule akiendelea kumuamin basii tutapoteana sana ...! Hamna anachojua kwa Sasa zaidi ya back pass kwa cancelo...
 
itamchukua miaka mingi pep kuamini kuwa grealish Hana uwezo wa zaidi ,na kwa mwendo ule akiendelea kumuamin basii tutapoteana sana ...! Hamna anachojua kwa Sasa zaidi ya back pass kwa cancelo...
Hapo kwa bishoo grielish tumeingia cha kike Mkuu lakin kwa guardiola bado ana nafasi na tutegemee kumuona sana tu...
tukimtegemea winga aina ya grielish basi itatusumbua sana mbeleni hasa UCL
 
Leo tusimame pamoja na chelsea ili arsenal ashikwe shati....wakidrop points tu ni advantage kwetu.

Tottenham pia ana liverpool japo simuhofii sana ila nae akidrop point ni jambo jema,wapunguze kiwingu hapo chini
 
Arsenyonyo anakung'utwa Leo hachomoki mtu
 
Pep kashasema live kuwa hapendi mchezaji mmoja anapaishwa na media , highlights zote kuwa kwa mtu mmoja anaona wivu ...anasema hapendi kuona haaland anafunga magoli mengi [emoji23] pekee yake na media zote zinampa sifa pekee yake ,ndio maana anajaribu kumpa nafasi alavarez nafasi ...na huwa anamwambia halaand usifunge magoli mengi ,......
 
Nae pep aache upuuzi.....Kama haaland anapata chance ni kutundika tu hakuna namna..

Asitake kumslow down
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…