Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
itamchukua miaka mingi pep kuamini kuwa grealish Hana uwezo wa zaidi ,na kwa mwendo ule akiendelea kumuamin basii tutapoteana sana ...! Hamna anachojua kwa Sasa zaidi ya back pass kwa cancelo...Mkuu Pain killer niliona post yako moja unalalamika kuhusu fighting spirit nafikiri umeona vijana wanavyojituma