The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hizi timu zisizo tambulika ulaya ndo saiz yenu nyie wasindikizaji tu wa wanaume
Zisizotambulika au wewe ndio huzijui?

Hako kanapigwa kama ngoma na kombe tunapita nalo ili mkajinyonge vizuri hehehehe
 
Mama cita wasindikizaji fc mnacheza na cheltako ina uefa 2 nyie mnafuga upara tu
Mtapigwa 2 kwa 0 vibwengo fc nyie bila halaand ni Sawa na mwanamke bila tako
 
Leo ni chelsea pale etihad..ngoja tuone kama tutapita ama la

in pep we believe
 
Leo cheltako ni viwili vya nguvu anapita hivi..........hatuna muda na wafuga makaliyo sisi hehehehe
 
Haijawahi kuwa rahisi kuwafunga Chelsea


Na kikosi Cha Leo ,wacha tuone ...
 
Tangu lini city tukasumbuliwa na wafuga wowowo hehehehe
 
Sergio Gomez na Lewis sio solid kabisa ,aisee ukuta wetu unavuja jaman ....

Jana angekuwa golin ederson tungepigwa nying sana ,maana edrseon hajui kusave ....

Siku zote nasema kinachomuweka goli ederson ni ule mguu wake wa kushoot ,kuhusu shots stoper ni very weak ...

Kwa Mara ya kwanza naona goalkeeper kutoka city anakuwa MOTM ...

Ortega anauwezo wa saving kuliko ederson,Tena kamzid mbalii ,jana ederson angekuwa golin tungefungwa nyingi Sanaa ....
 
ili uchukue CL lazima uwe na outstanding goalkeeper Kama Ortega ,mwenye uwezo wa kufanya save hatarii.....

Ukizingatia hatuna solid defence ,ukuta wetu unafunguka
......

Cheki goalkeeper wa madrid alivyowapa CL ,....

Goli alilofungwa edrseon na Brighton na trossard ni uzembe mkubwa na angekuwepo Ortega angeisave Amin hivo ...

Hata semi final tumetolewa kutokana na weak saves from ederson ,kile kichwa Cha Rodrigo kwa goli kipa mzuri anasave ....

Ortega anatakiwa kuanza kuaminiwa ......
 
. haaland hata Kama hayupo Alvarez anajitahid kuziba pengo ....

Japo haaland ni crinical finisher ila Alvarez anajua kupress na energy kubwa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…