Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Hahaaaa nomaaa sana nkunku ni mtu wa kuaangalia sanaKina nkunku na Werner hehehehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa nomaaa sana nkunku ni mtu wa kuaangalia sanaKina nkunku na Werner hehehehe
Lile jamaa ni li monster na zile spidi Za Werner kwa beki zetu asee ......Hahaaaa nomaaa sana nkunku ni mtu wa kuaangalia sana
Hapa yasije kutukuta ya Lyon maan tulipigwa kizembe sana kipindi kile ...Lile jamaa ni li monster na zile spidi Za Werner kwa beki zetu asee ......
Zisizotambulika au wewe ndio huzijui?Hizi timu zisizo tambulika ulaya ndo saiz yenu nyie wasindikizaji tu wa wanaume
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila wewe jamaa [emoji119] [emoji119] [emoji119]Mama cita wasindikizaji fc mnacheza na cheltako ina uefa 2 nyie mnafuga upara tu
Mtapigwa 2 kwa 0 vibwengo fc nyie bila halaand ni Sawa na mwanamke bila tako
City tupo vuzuri pamoja na kumwekea kikosi hiki cha vijana bado Chelsea atataabika tu iwe isiwe.Haijawahi kuwa rahisi kuwafunga Chelsea
Na kikosi Cha Leo ,wacha tuone ...
Mahrez free kick za namna hii anaziwezea sana...