Labda kwenye PSMan city ishakuwa papatu, haaland wameshamjulia, arsenal bingwa na newcastle run-up.
Wewe saint ettiene ile Nottingham forest ni timu kubwa? Si kaliwabandua nyie au? HeheheheheMama City kubwa jinga la wiki😂😂
Yanachapwa hadi na timu ndogo
Wachezaji akili zinawaza world cup tu ndomanaJamani hebu tupumzishe vichwa dah!hii game cjui tumechezaje hata sielewi mara 100 angepanga vijana walocheza na Chelsea last game.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Nyie na sisi hatutofautiani sana .....wote European cups tunazisikia kwenye bomba tu japo sisi tuna probability ya kunyanyua kwapa LA uefa msimu huuArsenal ipi ambayo haina kombe la European au ulitaka uonekane unaujua mpira wakati you know nothing?View attachment 2414793
Tunaweza kushinda hizo tatu halafu zikafata droo 2 hapo huwezi sema tuko serious...tupige hata 7 ivi ndo tutaona kweli timu ina momentumTukirudi baada ya world cup game 3 za mwanzo zitaamua Kama kweli tupo serious na ubingwa au laaah .....
Leo wachezaji sijui walicheza wanawaza wasipate injury kudadekiii ....
Defence yetu ilikuwa exposed vibaya mnoo mpaka unahisi hatuna bekiii ....
Wewe saint ettiene ile Nottingham forest ni timu kubwa? Si kaliwabandua nyie au? Hehehehehe
Naona mmepata pa kutolea machunguNyie makubwa jinga ya wiki amkeni mkasali
Timu lako ni LA ngapi kwenye msimamo mpaka uje kupiga kelele humuNyie makubwa jinga ya wiki amkeni mkasali
Team yako inaelekea kushuka daraja, unaona uje ujifariji hapa, wee cc hebu nenda kamsaidie klopp kuokoa team lenu.Nyie makubwa jinga ya wiki amkeni mkasali
Kwa ule mpira wa jana hapo sioni timu nyepesi ,kiufupi sioni uhakika wa point 3Man city first ten premier league fixtures after world cup
December 28 Wednesday
Leeds vs Manchester city
December 31 Saturday
Manchester city vs Everton
January 2 Monday
Chelsea vs Manchester city
January 14 Saturday
Manchester united vs Manchester city
January 21 Saturday
Manchester city vs wolves
February 4 Saturday
Tottenham vs Manchester city
February 11 Saturday
Manchester city vs Aston villa
February 18 Saturday
Nottingham vs Manchester city
February 25 Saturday
Bournemouth vs Manchester city
March 4 Saturday
Manchester city vs Newcastle
Kwa taarifa yako ni mechi ya tatu tunashinda mfululizoTeam yako inaelekea kushuka daraja, unaona uje ujifariji hapa, wee cc hebu nenda kamsaidie klopp kuokoa team lenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ona sasa......timu lako ni LA hovyo hadi kushinda mechi tatu mfululizo yamekua mapambio hehehehehe.........timu lishazoea kupakatwa tu ......vipakatwa fcKwa taarifa yako ni mechi ya tatu tunashinda mfululizo
Gari limewaka.
Nyie mama city mnapigwa na Brentford
Hapo tukiweza kuchukua angalau kuanzia point 25 kwenda juu tutakuwa na matumaini ya kutetea ubingwa tofauti na hapo tutabaki kumpigia ramli arsenalKwa ule mpira wa jana hapo sioni timu nyepesi ,kiufupi sioni uhakika wa point 3
Mkuu hii ishu bado mbinchi sana wala haituumizi kichwa amini hiki kitu, Arsenal anapambania top 4 tu akili ya kuchukua Epl hajawanayo bado huyo.Hapo tukiweza kuchukua angalau kuanzia point 25 kwenda juu tutakuwa na matumaini ya kutetea ubingwa tofauti na hapo tutabaki kumpigia ramli arsenal
Hata Phillips sijajua kwanini ameitwa ,hii team inaenda kuishia group stage huko WC ,mtu Kama Phillips hajacheza hata game 3 toka msimu uanze lakin kamchukua[emoji23][emoji23][emoji23]..Yani mpaka sasahivi sijaelewa mantiki ya southgate kumuita walker kwenye kikosi...
Yeye mwenyewe anasema anaamini mpaka mwisho wa group stage atakuwa keshapona majeraha yake!