The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

city kacheza dakika 54 tu toka amekuja.
Timu ya taifa kacheza chini ya dakika 45 nadhani.Huyu jamaa tunaweza kuwa tumeingia cha kike.
 
Kama grealish tu, japokua mwenzake anapata game time
 
Mkileta masihara mtu anatangaza ubingwa March
 
Rico lewis amejitahidi sana kwa kiwango chake......hapa hizi takwimu amezidiwa na rodri na laporte tu

Pass succession rate - 87%
Touches- 73
Passes 70
Tackles won -2
Hii timu ukifatilia kwa undani utagundua mashabiki wake wengi ni wanawake na watoto, kama kuna wanaume basi ni waliotoka unyumbuni
 
Pambaneni mpunguze lile gepu pale kileleni, timu yenu haishindi hadi watu wa-dive
Chelikenge Mara ya mwisho kushinda ilikua lini? ........hehehe mashabiki mpaka mshasahau kama kuna kitu kinaitwa 3 points.
 
Phillips tulipigwa aisee ....

Ukiona pep kaanza hivi ujue kashamtema,tumepoteza pesa za Bure kununua kelvin Phillips kuja kuogelea na kula tu maisha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sasa kashanenepa mpaka hawezi kufanya mazoezi ...


Za ndani kabisa zinasema pep kampiga stop Phillips kukanyaga kwenye uwanja wa training wa city na gym ....

Tulikurupuka vibaya mnoo kumsajili jamaa [emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…