Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Ake Yuko underrated Sana ,...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
city kacheza dakika 54 tu toka amekuja.Phillips kaumua Lin jamn mbona anajipotezea kipaji chake [emoji848][emoji848][emoji848]
Kombe la dunia kaitwa na alikuwa fit japo nasikia hakuwa fit Kwa ajili ya game lakin alikuwa anatokea sub ,....
Msimu unaishi hajaingia uwanjana kazi yake ni kuogelea na kulala tu [emoji2][emoji848][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
Hao madogo lazima wawatoe kamasiNext ni Leeds united View attachment 2456047
Kama grealish tu, japokua mwenzake anapata game timePhillips kaumua Lin jamn mbona anajipotezea kipaji chake [emoji848][emoji848][emoji848]
Kombe la dunia kaitwa na alikuwa fit japo nasikia hakuwa fit Kwa ajili ya game lakin alikuwa anatokea sub ,....
Msimu unaishi hajaingia uwanjana kazi yake ni kuogelea na kulala tu [emoji2][emoji848][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
Mkileta masihara mtu anatangaza ubingwa MarchMwezi January tuna ratiba ngumu sana.Utakuwa ni mwezi mgumu kwetu.
THURSDAY 5th, Premier league
Chelsea vs Manchester city
SUNDAY 8th, FA Cup
Manchester city vs Chelsea
TUESDAY 10th, Carabao cup
Southampton vs Manchester city
SATURDAY 14th, Premier league
Manchester united vs Manchester city
THURSDAY 19th, Premier league
Manchester city vs Tottenham hotspurs
SUNDAY 22nd, Premier league
Manchester city vs Wolverhampton
We nae umetokea wap had ukaja pasipokuhusu,ue unagonga kwanza kabla kuvamiaHivi Man city mashabiki wake mmezaliwa mwaka gani nyie? Au ni wakimbizi mmezihama timu zenu au mmeanza kufatilia mpira ukubwani?
Hii timu ukifatilia kwa undani utagundua mashabiki wake wengi ni wanawake na watoto, kama kuna wanaume basi ni waliotoka unyumbuniRico lewis amejitahidi sana kwa kiwango chake......hapa hizi takwimu amezidiwa na rodri na laporte tu
Pass succession rate - 87%
Touches- 73
Passes 70
Tackles won -2
Mie mwenyeji kitambo, nilitulia kwanza kusubiri wedi kapu ipite hivi turudi kwenye burudani halisiWe nae umetokea wap had ukaja pasipokuhusu,ue unagonga kwanza kabla kuvamia
We chelikibwengo mbona msumbufu akati timu lako bovuHii timu ukifatilia kwa undani utagundua mashabiki wake wengi ni wanawake na watoto, kama kuna wanaume basi ni waliotoka unyumbuni
Tunabutua 4 za nguvuHao madogo lazima wawatoe kamasi
Huyu na pep walishindwana tabia..........pep hataki mchezaji mwenye kiburi na anaejiona staa kwaiyo kurudi labda kama kabadilikaLeroy Sane Bora tu arudi city ....View attachment 2456258
Mkuu ,arsenal hana ubavu wa kutangaza ubingwa march mbele ya city.Mkileta masihara mtu anatangaza ubingwa March
Pambaneni mpunguze lile gepu pale kileleni, timu yenu haishindi hadi watu wa-diveWe chelikibwengo mbona msumbufu akati timu lako bovu
Chelikenge Mara ya mwisho kushinda ilikua lini? ........hehehe mashabiki mpaka mshasahau kama kuna kitu kinaitwa 3 points.Pambaneni mpunguze lile gepu pale kileleni, timu yenu haishindi hadi watu wa-dive