Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Ukiangalia pep ailkuwa kasha underestimate Everton ,ndiobmaana alirellax baada ya kuongoza goli 1 ...Sjui ndo too much confidence
Yan pep ndo kaamua huu mchezo mxiew. Kawaacha walker na cancelo af still hakufanya maamuz ya haraka kwenye sub.Ukiangalia pep ailkuwa kasha underestimate Everton ,ndiobmaana alirellax baada ya kuongoza goli 1 ...
Harafu anatakiwa kurudisha attacking winger cancelo &walker ...huu ujinga wa kuacha bench wanaume kama Hawa ambao wametufikikisha mbali kwenye CL ni ujinga ....
Everton deserve this ,tuliwachukulia poa. ,kuanzia dakika ya Kwanza Hadi ya 70 ,walipochomoa ..
Hope pep kajifunza Sasa ....
Ederson kila shots on target ni goli ,worst Goalkeeper ever [emoji1786]
Cry more my lady [emoji23][emoji23][emoji23]Nimeangalia ndomna nmesema hivo and btw enjoy it while it lasts,we coming for u.[emoji35][emoji35][emoji35]
Moto tutaouwasha sjui nan atazma.
Grealish mpaka uefa ataanza....Hapo ndio tutajua pep anavyomsifia jamaa anamaanishaFoden hakumkumbuka kabsa
Pep kawaida yake iyo kama anaongoza hua ni mgumu kufanya sub, kuna gem walioanza ndo wanamaliza hafanyi sub especially kama mmeshindwa kumpa matokeo anawaacha kama ni adhabu sijuiFoden hakumkumbuka kabsa
Hiv ni kibur au mana kila mtu anamwambia na sio kwamba comments za fans hazion anaziona sasa kuhusu grealish,sjui anataka kutuprove nnGrealish mpaka uefa ataanza....Hapo ndio tutajua pep anavyomsifia jamaa anamaanisha
Muda ni mwalim mzurCry more my lady [emoji23][emoji23][emoji23]
Mzto kwenye maamuzPep kawaida yake iyo kama anaongoza hua ni mgumu kufanya sub, kuna gem walioanza ndo wanamaliza hafanyi sub especially kama mmeshindwa kumpa matokeo anawaacha kama ni adhabu sijui
Pep atajifunza kipi sasa yan hapa mechi ijayo grealish ndani, walker na cancelo benchi kama kawa hapo ndio tutajua hatujui.....Defence yetu ni weak vibaya mnoo ,baada ya goli la kwanza sikuona hata high pressing , energy,kiufupi tuliwachukulia poa Everton ....
Safi ,pep kajifunza kitu naamin ...
Huu ujinga akiufanta kwenye CL ,hataamin kitakacho mkuta....
Sion sababu ya cancelo na walker kutoaanza [emoji3060][emoji3060]ni ujuaji mwingi na dharau ....
Hakuna namna inabidi tumzoee grealish kwa maneno hayo.[emoji2424] Pep Guardiola: "Jack Grealish doesn't need goals to change my opinion. Since day one, we've been delighted with Jack. I know the role he had at Aston Villa, it was completely different. Maybe he has to adapt to our environment, but since day one, he's set out perfectly."
"Of course we want to score goals - he's the first to say that. But he always plays to a good level. When the ball arrives to him, rarely he will lose the ball. And that's what we want.."
Grealish kamrogaaa pep sio Bure[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]