Grealish tukimsema ndio kwanza anatoa na assist ya goli..angekuwa anakuwa desicive hivi kwenye asilimia kubwa ya mechi anazocheza tusingekuwa na tabu nae.
Hapo utashangaa mechi ijayo akianza anarudi kwenye default mode. No consistency.
Jan pep hakutaka lawama kabisa ,alifanya maamuzi haraka ,.....
Unapokuwa na wachezaji Kam Mahrez ,lewis ,akanji ,Alvarez bench Bado unapoteza inakuwa aibu [emoji3]...
Jana kaona isiwe kesii HT ,walker & cancelo wakatoka ,cancelo alikuwa anacheza nafasi sio yake kabisa ,...
Dakika ya 50 ,bernado ,foden ,nje ,Mahrez , grealish ndani ....
Hapo ndipo game ikachange Sasa ......
Tumepoteza game kibao kw kuchelewa kufanya sub mapema aisee ...pep kashajua ...