The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Wanajitahidi kupaki ila bado cha moto watakiona tu hilo daraja la mpapai lazima livunjwe leo iwe mvua iwe jua.
 
Grealish tukimsema ndio kwanza anatoa na assist ya goli..angekuwa anakuwa desicive hivi kwenye asilimia kubwa ya mechi anazocheza tusingekuwa na tabu nae.

Hapo utashangaa mechi ijayo akianza anarudi kwenye default mode. No consistency.
 
[emoji2424] Jack Grealish: "The assist? I've put my head down to cross it and straight away I'm thinking, Erling Haaland's got to be somewhere."

"I said to him, 'Where were you?' He said because everyone was in there he pulled back.."
FB_IMG_16729760399022891.jpg
 
Grealish tukimsema ndio kwanza anatoa na assist ya goli..angekuwa anakuwa desicive hivi kwenye asilimia kubwa ya mechi anazocheza tusingekuwa na tabu nae.

Hapo utashangaa mechi ijayo akianza anarudi kwenye default mode. No consistency.
Jan pep hakutaka lawama kabisa ,alifanya maamuzi haraka ,.....

Unapokuwa na wachezaji Kam Mahrez ,lewis ,akanji ,Alvarez bench Bado unapoteza inakuwa aibu [emoji3]...

Jana kaona isiwe kesii HT ,walker & cancelo wakatoka ,cancelo alikuwa anacheza nafasi sio yake kabisa ,...

Dakika ya 50 ,bernado ,foden ,nje ,Mahrez , grealish ndani ....

Hapo ndipo game ikachange Sasa ......

Tumepoteza game kibao kw kuchelewa kufanya sub mapema aisee ...pep kashajua ...
 
Jana mpaka HT tulikuwa tunacheza cheza tu mpira bila tactics,ndio maana mpaka HT hakuna goli wala movement Kali kwenda golin ....
 
Back
Top Bottom