Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ederson anatakiwa ku emprove , stopper goalkeeper sometimes anasaidia kuwin game...
Anaepaki nani? Acha kuangalia mpira LivescoreWanajitahidi kupaki ila bado cha moto watakiona tu hilo daraja la mpapai lazima livunjwe leo iwe mvua iwe jua.
Temea chini hakika hayo maneno utayakimbia 2nd half.Mwacity hii game huchomoki
Jan pep hakutaka lawama kabisa ,alifanya maamuzi haraka ,.....Grealish tukimsema ndio kwanza anatoa na assist ya goli..angekuwa anakuwa desicive hivi kwenye asilimia kubwa ya mechi anazocheza tusingekuwa na tabu nae.
Hapo utashangaa mechi ijayo akianza anarudi kwenye default mode. No consistency.