Ten hag huyu kipara au kuna mwingine?Ten Hag kazi ya kwanza kabisa iliyomleta England ukiachana na Kuisaidia Man Utd kuchukua makombe alisema ni kumaliza utawala wa City na Liver (End of an era) hapo England.
Tokea kutua kwake hapo Uingerza Klopp na Pep wanatapatapa sana, huyu jamaa huenda ana kaupako fulani hivi au anakaundugu kwa mbali na marehemu Sheikh Yahaya.
Poleni kina dada Mwasiti wa Gongo la Mboto. View attachment 2478128
[emoji599] BREAKING: John Stones Has Been Ruled Out Of Tomorrow’s Manchester Derby By Guardiola…[emoji854] #mcfcKesho hatutakuwa na John Stones. Amepata majeruhi ambayo bado hayajawekwa wazi.
Anaungana na Ruben dias kwenye sidelines.
Saizi tutafunga milango yote ,hakuna kukimbia [emoji3][emoji3]Wew man fisi dawa ya pep ipo jikoni inachemshwa, na ten hag mda c mrefu atapewa anywe.
Ole miguno ndio alikua anatuwezea...huyo ten majagi tunamuosha nje ndani..Wew man fisi dawa ya pep ipo jikoni inachemshwa, na ten hag mda c mrefu atapewa anywe.
Subiri kesho mtajua hamjuiOle miguno ndio alikua anatuwezea...huyo ten majagi tunamuosha nje ndani..
Iko waziAcha nilale tomorrow the Manure dies.
Pigen kenge hao goli 4Ole miguno ndio alikua anatuwezea...huyo ten majagi tunamuosha nje ndani..