Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,129
- 4,859
Ten hag huyu kipara au kuna mwingine?Ten Hag kazi ya kwanza kabisa iliyomleta England ukiachana na Kuisaidia Man Utd kuchukua makombe alisema ni kumaliza utawala wa City na Liver (End of an era) hapo England.
Tokea kutua kwake hapo Uingerza Klopp na Pep wanatapatapa sana, huyu jamaa huenda ana kaupako fulani hivi au anakaundugu kwa mbali na marehemu Sheikh Yahaya.
Poleni kina dada Mwasiti wa Gongo la Mboto. View attachment 2478128
end of an era kawaambieni livapunda huko.