Guardiola anapenda kuwa na high possession kwenye flanks ndio sababu hupenda kumtumia grealish mara kwa mara badala ya foden.My probable line up.
Foden.....Haaland....Mahrez
KDB.......Rodri.......Gundogan
Ake....Laporte...Akanji..Walker
.............Ederson.........
cancelo hayuko kwenye form kabisa sitegemei kuona akianza...
Stone Yuko na injury hatakuwepo kabisa ....Guardiola anapenda kuwa na high possession kwenye flanks ndio sababu hupenda kumtumia grealish mara kwa mara badala ya foden.
Leo sitoshangaa grealish akianza badala ya foden kule kwenye left wing kwasababu ana offer more passes kuliko foden, kitu ambacho pep anakitaka ili tuwe na control ya mchezo.
Binafsi ningependa foden aanze ili kuongeza makali pale mbele tofauti na grealish ambaye ukiacha umiliki wake wa mpira, hana makali yeyote kwenye mashambulizi.
Mahrez ana offer both..itakuwa ni perfect choice kule kulia.
Nathan ake anaweza kutusaidia hiki kipindi ambacho Joao hayuko kwenye kiwango chake japo sio creative kama cancelo, ila yuko vizuri defensively.
Ningependa pia stones awepo, ni mzuri kwenye buildup phase.
Foden yuko direct na aggresive sana tofauti na grealish.Guardiola anapenda kuwa na high possession kwenye flanks ndio sababu hupenda kumtumia grealish mara kwa mara badala ya foden.
Leo sitoshangaa grealish akianza badala ya foden kule kwenye left wing kwasababu ana offer more passes kuliko foden, kitu ambacho pep anakitaka ili tuwe na control ya mchezo.
Binafsi ningependa foden aanze ili kuongeza makali pale mbele tofauti na grealish ambaye ukiacha umiliki wake wa mpira, hana makali yeyote kwenye mashambulizi.
Mahrez ana offer both..itakuwa ni perfect choice kule kulia.
Nathan ake anaweza kutusaidia hiki kipindi ambacho Joao hayuko kwenye kiwango chake japo sio creative kama cancelo, ila yuko vizuri defensively.
Ningependa pia stones awepo, ni mzuri kwenye buildup phase.
Unaandika huku unatetemeka kila ukikumbuka picha ya haaland heheheheNyie man fisi, Leo mtajua hamjui
Sawa Mkuu wew subiria gemuUnaandika huku unatetemeka kila ukikumbuka picha ya haaland hehehehe
manjesta iz bluu
matofali fc 1: 3 city
Labda kaonyesha kuwa fiti zaidi mazoezini ndio maana kawekwa japo ningependa kama angeanza Ake kule pembeni maana yuko vizuri defensively kuliko cancelo kwa siku za karibuni.Sijui kama cancelo anaweza kuwa na maajabu leo
Bado wapo mchezoni...sisi ndio tunarukaruka tu.Manure washaanza kupoteana