The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Man utd vs Man city
last 5 matches.

02 October, 2022
Man city 6-3 Man utd

6 March, 2022
Man city 4-1 Man utd

06 November 2021
Man utd 0-2 Man city

07 March, 2021
Man city 0:2 Man utd

12 December, 2020
Man utd 0-0 Man city
 
My probable line up.

Foden.....Haaland....Mahrez

KDB.......Rodri.......Gundogan

Ake....Laporte...Akanji..Walker

.............Ederson.........

cancelo hayuko kwenye form kabisa sitegemei kuona akianza...
Guardiola anapenda kuwa na high possession kwenye flanks ndio sababu hupenda kumtumia grealish mara kwa mara badala ya foden.

Leo sitoshangaa grealish akianza badala ya foden kule kwenye left wing kwasababu ana offer more passes kuliko foden, kitu ambacho pep anakitaka ili tuwe na control ya mchezo.

Binafsi ningependa foden aanze ili kuongeza makali pale mbele tofauti na grealish ambaye ukiacha umiliki wake wa mpira, hana makali yeyote kwenye mashambulizi.

Mahrez ana offer both..itakuwa ni perfect choice kule kulia.

Nathan ake anaweza kutusaidia hiki kipindi ambacho Joao hayuko kwenye kiwango chake japo sio creative kama cancelo, ila yuko vizuri defensively.

Ningependa pia stones awepo, ni mzuri kwenye buildup phase.
 
We are ready ...
mancity-20230114-0001.jpg
 
Stone Yuko na injury hatakuwepo kabisa ....
 
Foden yuko direct na aggresive sana tofauti na grealish.
Grealish anafaa kuingia second half kama timu inaongoza ili kuongeza umiliki wa mpira sio tofauti na hapo.
 
Starting XI

Ederson
Walker
Cancelo
Akanji
Ake
Rodri
De bruyne
Bernado
Foden
Mahrez
Haaland
 
Sijui kama cancelo anaweza kuwa na maajabu leo
Labda kaonyesha kuwa fiti zaidi mazoezini ndio maana kawekwa japo ningependa kama angeanza Ake kule pembeni maana yuko vizuri defensively kuliko cancelo kwa siku za karibuni.
 
Tangu kurudi kwa League baada ya World Cup kuisha sijaona maajabu ya KDB
Ngoja tuone leo kama atakuwa vizuri
 
Back
Top Bottom