Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Poleni sanaHuu msimu tunatoka 0 trophies ...
For real,nshaona yaniHuu msimu tunatoka 0 trophies ...
Haujakata ila timu pinzani ikifanya homework vizuri huyu haaland hana maajabu yoyote, wa kawaida sana, mno, atakua anahangaika tu, ila ikikutana na timu zinazojiendea tu basi ndio huyu hua anafunga magoli mengi sana sababu ya uzembe wa timu pinzani..Halaand moto umekata sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Liva watakufurahisha hapo baadaeMama Cita kama kawaida yenu.
Mnaenda kuwa makubwa jinga ya wikiendi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wewe timu ganiWewe arsenal?
Mama Cita ni Bure kabisaLiva watakufurahisha hapo baadae
Mama citaaaa πππππGame inayokuja ni spurs ....
Hakuna timu inayotu outsmart kama spurs ,naona kabisa tukiendelea na matokeo ya hovyo ...
Hapana, bado ubingwa upo wazi na tuna nafasi ya ku bounce back.Hatuna spirit ya kibingwa kabisa ,tuwaachie tu arsenal .....
Kwenye table mpo nafasi ya ngapi? Brighton &Hove unawafahamu vizuri? Sio baadae kuanza kumlalamikia ManunuMama Cita ni Bure kabisa
Timu kubwa Liva baba lao sisi ni kupeleka moto tu