The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

FB_IMG_16703917954022575.jpg
 
Mechi iliopita hamkuaa na shuti lolote golini kwa adui.
La Volpismo Leo haijafanya kazi.
 
Msimamo wa ligi mpaka kufikia May
1: Manchester United
2: Manchester city
3: Newcastle United
4: Arsenal
Nyie maboya huo👆 ndio msimamo wa ligi msimu huu, napia si hivyo tu Hadi carabao,FA na Europe huyo mwamba hapo juu namba 1 bado anashiriki, hivyo mtajua hamjui msimu huu mechi 8 mfululizo unbeaten and still more suplise to come for the red devil's👍
 
Halaand moto umekata sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haujakata ila timu pinzani ikifanya homework vizuri huyu haaland hana maajabu yoyote, wa kawaida sana, mno, atakua anahangaika tu, ila ikikutana na timu zinazojiendea tu basi ndio huyu hua anafunga magoli mengi sana sababu ya uzembe wa timu pinzani..
 
Hakuna flow ya mpira tuliyoizoea.

wachezaji wako chini ya kiwango..

creativity pale katikati imepungua kabisa.

Timu nzima imechoka.

kwa hali hii sioni kama tutaweza ku compete kwenye makombe yote matatu.
 
Back
Top Bottom