The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Haaland ni kama alikuwa hayumo uwanjani kabisa.

Fredi na casemiro wamefanya kazi yao vyema ya kumzima kdb na kumpa presha rodri..

kdb wa sasa akizimwa kweli anazimika.
 
Huu sasa ndo ushabiki lialia
Arsenal akishinda kesho atafanya gap liwe point 8.

hizo bado sio points nyingi ku seal ubingwa kwa muda huu...

kama city ikiweza kurudi kwenye form yake, inaweza kushinda mechi 10+ mfululizo..

inshu inabaki je tutaweza kurudi kwenye form kabla mwez january haujakata?
 
City hatorudi kwenye iyo form yake

Tangu msimu huu uanze city sio ile city tuliyoizoea
 
Tunaruka majoka tu skuizi...

mpira ushaanza kutushinda...

tunacheza ilimradi tu tunacheza...

tumekuwa wakamilisha ratiba.

tumekuwa wazururaji uwanjani..

tumekuwa shamba la bibi

tumekuwa wagawa point

tunacheza kama sunderland

tunapiga punyeto uwanjani.

tunacheza sindimba badala ya mpira.

tumekuwa matakataka

tumekuwa watalii uwanjani

na kazalika na kazalika.
 
Tuko vibaya lakin Liverpool aisee wanazidi kupoteana huwezi Amin wametoka kucheza final UCL mwaka Jana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Haaland saizi wameshamjulia Sasa ,inabidi afanye mazoezi ya kuhusika kwenye build up ,kukaa pale kati kusubili cross itakuwa ngumu kwake [emoji3060][emoji3060]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…