Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Tupo na makubwa jinga ya wikiendiKwenye table mpo nafasi ya ngapi? Brighton &Hove unawafahamu vizuri? Sio baadae kuanza kumlalamikia Manunu
Yanayochezea kichapo wiki hii nzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo na makubwa jinga ya wikiendiKwenye table mpo nafasi ya ngapi? Brighton &Hove unawafahamu vizuri? Sio baadae kuanza kumlalamikia Manunu
Huu sasa ndo ushabiki lialiaHapana, bado ubingwa upo wazi na tuna nafasi ya ku bounce back.
Arsenal akishinda kesho atafanya gap liwe point 8.Huu sasa ndo ushabiki lialia
City hatorudi kwenye iyo form yakeArsenal akishinda kesho atafanya gap liwe point 8.
hizo bado sio points nyingi ku seal ubingwa kwa muda huu...
kama city ikiweza kurudi kwenye form yake, inaweza kushinda mechi 10+ mfululizo..
inshu inabaki je tutaweza kurudi kwenye form kabla mwez january haujakata?
Kesho Tottenham anakaa kwa ArsenalArsenal
Ukiona kwa mwenzako kunawaka, ujue kwako kunateketea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Walimuacha Magwaya anakwenda Man U wacha wapigwe.Hii timu ina laana vibwengo nyie
Nipongeze basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Haaland saizi wameshamjulia Sasa ,inabidi afanye mazoezi ya kuhusika kwenye build up ,kukaa pale kati kusubili cross itakuwa ngumu kwake [emoji3060][emoji3060]Tunaruka majoka tu skuizi...
mpira ushaanza kutushinda...
tunacheza ilimradi tu tunacheza...
tumekuwa wakamilisha ratiba.
tumekuwa wazururaji uwanjani..
tumekuwa shamba la bibi
tumekuwa wagawa point
tunacheza kama sunderland
tunapiga punyeto uwanjani.
tunacheza sindimba badala ya mpira.
tumekuwa matakataka
tumekuwa watalii uwanjani
na kazalika na kazalika.
Mshukuru Mungu mmepewa goli la offside,Duh! Yaani forum yenu ninyi Shitty hata pages 1000 bado kufika?!
Manchester is RED!