The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Nyie hata Ihefu inawapiga vizuri nje ndani
Hivi wewe saint ettiene unapata wapi ujeuri wa kuendelea kuzurura humu?

unang'ang'aniza tuwe levo moja wakati nyie ni matakataka na sisi ni wafalme wa soka la uingereza..
sisi ni wabaya sana.
 
Hivi wewe saint ettiene unapata wapi ujeuri wa kuendelea kuzurura humu?

unang'ang'aniza tuwe levo moja wakati nyie ni matakataka na sisi ni wafalme wa soka la uingereza..
sisi ni wabaya sana.
Wafalme wa matakataka labda!
 
Ok sawa ni offside tuambie ni kwanini mmepiga shot one target 1 tu mpaka mpira unaisha?
 
Nyie mlandege mnalala mpka sshv mna raha gani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halaand Ni kibu denis wa ulaya
 
Et unaambiwa
 
Haaland sio mzuri kwenye ball control,so kwenye build up sio mzuri ,kupress vile vile sio mzuri .....

Yeye anajua kumalizia tu ....


Sasa inatakiwa mfumo wa kuendana nae ....
Asa nan amfanyie hyo kazi , yeye kutafuniwa tuu hao ndo wale wale akina Diego Costa , Lukaku hata kutuliza mpira hawajui , wanategemea midfielder na wingers wahenyeke wao waotee Kwa kumalizia , ujinga huo
 
Kiukweli kwa mpira tunaocheza, Harry kane ndio alikuwa chaguo sahihi kabisa.

Ukiachana na uwezo wake wa kufunga, anatengeneza nafasi za kufunga pia na ana uwezo mzuri wa kuplay part kwenye build up.
mtu kama huyu angetufaa pale mbele.

Haaland yeye ni wale old fashioned strikers ambao wanasubiri final passes waweke kambani na si zaidi ya hapo.

uwepo wa mtu kama huyo kwenye timu inayocheza pasi nyingi kunapunguza ile fluidity ya uchezaji wa timu.
ndicho kinachotokea city
sasahivi.

Toka msimu huu uanze, ile signature style of play ya man city ya misimu yote haipo tena.

Timu inacheza kwa kutegemea kumlisha haaland huku yeye mwenyewe akiwa yupo tu pale kati anasubiri kufanya tap in.

Timu ikibanwa, haaland anakuwa useless.

Kiukweli kama tukiendelea kustick kwenye huu mpira wa pasi nyingi basi alvarez ndio atatufaa zaidi.
Ana uwezo wa kutengeneza nafasi, ana high pressing ability na ana uwezo wa kufunga.

Ama tuswitch kwenda kwenye direct football ambao ndio style inayofaa zaidi kwa mastraika aina ya haaland.
 
Leo halland old fashion[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamanii si kafungaa kila mechii huyooo toka msimu unaanza.. Man city bhana kuweni wapolee ilaa tu kuhusu ubingwaa sahaunii maana inaweza kuwatesa sanaa ila mnatusindikiza Man u[emoji13]
 
Haaland ni clinical finisher hilo halina ubishi.

shida inakuja kwenye uchezaji wetu ambao unahitaji kila mchezaji kuhusika kwenye kujenga mashambulizi.

Haaland yeye anakuwa tu pale kati ambayo ndio sifa ya wale namba 9 wa kiasili. Kusema hivyo sijamaanisha kawa butu.
shida ni kwamba anakuwa haendani na falsafa za pep.

Ila akipata chance, imo.
ndio faida yake pekee.
 
Yesterday when I was watching the game i thought halaand would score at least one goal but I was wrong, they caught him on the corner and simple, the guy is overrated. And That was why, Madrid and President Perez were considering him as second choice after Mbappe because he can't offer a lot of things on pitch and the same time he can't finish the game when is impossible.
 
Nyie man fisi timu ya mchongo, mnapataje nguvu ya kuingia humu na kujadili utopolo wenu wa jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…