I can feel the revival...Sijawahi kuwachukulia poa kabisa spurs ....
Son anapenda Sana kumfunga ederson ..
ila Kwa hali tuliyonayo ,spurs ni lazima aachie point tatu ,kakutana na sisi tupo kipindi kibaya zaidi ,yaani kila mtu na hasira za kutaka 3+ point...
Hiyo game nlikuwa nishahesabu draw asee Mara paap Kane yumo kambani na Mpira ukaisha.Hawa mbwa mechi ya mwisho walitupiga kipigo cha uchungu sana.....
Na spurs nao wanasali pia.God bless us,we need this win oooh🥲[emoji170]
Yani akili yangu bado inakuwa ngumu kumuamini grealish.naona anapoza sana mchezo na hayuko agressive golini.Based on current performance naona Leo bora grealish aanze badala ya foden.
Leo grealish anakichafua katiNo KDB duh
Hayo mambo kayafanya sana akiwa villa..Hivi grealish ana ubunifu wowote wa kuiunlock back line ya spurs kweli?