The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Sijawahi kuwachukulia poa kabisa spurs ....

Son anapenda Sana kumfunga ederson ..

ila Kwa hali tuliyonayo ,spurs ni lazima aachie point tatu ,kakutana na sisi tupo kipindi kibaya zaidi ,yaani kila mtu na hasira za kutaka 3+ point...
I can feel the revival...

I can feel that we are going to get back on our feet.

I can feel the sleeping monsters waking up.

City 2-0 S'pussy
 
Hawa mbwa mechi ya mwisho walitupiga kipigo cha uchungu sana.....
 
YQ_1628962533.jpg



It's Kane vs Haaland

Man-City-vs-Tottenham--696x380.jpg
 
Tumeshinda mechi moja kati ya 5 za mwisho tulizocheza na spurs kwenye PL.

Jamaa wanatuoteaga sana hawa.
Hawa mbwa mechi ya mwisho walitupiga kipigo cha uchungu sana.....
Hiyo game nlikuwa nishahesabu draw asee Mara paap Kane yumo kambani na Mpira ukaisha.
 
Inatakiwa tubadilike sana.

Inatakiwa tuwe na kasi wakati wa kufañya mashambulizi.

Tuwe aggressive kwenye goli la timu pinzani.

Mechi ya man utd tulikuwa tunajivutavuta sana. Tulikuwa tunacheza kivivu mno hasa muda wa kufanya mashambulizi.

Leo spurs kama kawaida yao watakuwa wanatusubiri kwenye kaunta kama man u.
 
Starting XI

Ederson
Lewis
Stones
Akanji
Ake
Rodrigo
Gundogan
Grealish
Mahrez
Alvarez
Haaland
 
Hivi grealish ana ubunifu wowote wa kuiunlock back line ya spurs kweli?
 
Back
Top Bottom